Versuri > Vanessa Mdee

Versuri Vanessa Mdee – Unfollow lyrics

Unfollow versuri Vanessa Mdee

I saw you like her picture
What about me unamfata mpaka twitter
Now we know what it’s gon be
I saw you like her picture yeah
What about me yeah yeah
Kama hakuna cha kuficha
Why don’t you get out off her insta

Unanikera kera kera kera kera yeah
Unavyopenya penya kwa peji zake
Unanikera kera kera kera yeh e e eh
Unavyopenya penya kwa peji zake

Heeey yeaah

Macho yanatamani unfollow
Moyo unatamani unfollow
Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani
Macho yanatamani unfollow
Moyo unatamani unfollow
Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani

First of all I’m the baddest kwenye peji yake
don’t know what the hell, you’re looking for??
Au labda shepu yake lipsy macho yake pengine umedata na dimples.
Hata level zangu huwezi kucompea na level za kwake ni simpo
Baby please won’t you hear me. if you know that you need me.

Unanikera kera kera kera kera yeah
Unavyopenya penya kwa peji zake
Unanikera kera kera kera yeah e e eh
Unavyopenya penya kwa peji zake

Heeey Yeaah

Macho yanatamani unfollow
Moyo unatamani unfollow
Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani
Macho yanatamani unfollow
Moyo unatamani unfollow
Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani

Kama mi nakufaa naomba usimfuate.
Taratibu atakukaa imani ikutoke.
Kama mi nakufaa naomba usimfuate.
Taratibu atakuakaa imani itoke.

Macho yanatamani unfollow
Moyo unatamani unfollow versuri.us
Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani

Macho yanatamani unfollow
Moyo unatamani unfollow
Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani

Unfollow
Unfollow
Unfollow
Unfollow

Unfollow lyrics ♪ tiktok clean Letra de la canción Unfollow ♪ Versuri Unfollow

Vezi si alte versuri de la Vanessa Mdee:

Versuri Vanessa Mdee Ft. Rayvanny – BADO

Versuri Vanessa Mdee – Moyo

Versuri Vanessa Mdee – The Way You Are

Versuri Vanessa Mdee – Bambino feat Reekado Banks

Versuri Vanessa Mdee – Pumzi Ya Mwisho ft. Joh Makini And Casper Nyovest