Versuri > Vanessa Mdee

Versuri Vanessa Mdee Ft. Rayvanny – BADO lyrics

BADO versuri Vanessa Mdee

Kipendacho roho, hula nyama mbichi beiby
Nobody knows that you are down for me
Beiby niruhusu niteke, nisitekwe
Iwe ka ngumi mateke, tuwe sote

Kila mara akili yangu wewe tu
Umenifanya nimezama mwenzio
Kila mara akili yangu wewe tu
Umenifanya nimezama mwenzio

Beiby you know (bado)
The way that I do (bado)
The thing that you do (bado)
The way I love you (bado)
Oooh beiby you know (bado)
Nakufanya nikusahau (bado)
Nataka mi nikushushe dau (bado)
Sipendagi madharau (bado)

Nusu kabusu
Umenipiga nusu kabusu
Nusu kabusu
Umenipiga nusu kabusu

[Rayvanny]
Haiboooo…
Alamba alamba
Tamu tamu katoa maganda
Makibanda misamba
Makaleta kavunja kitanda

Kanitekenya tekenya (aah eeh kanitekenya)
Mi napekenya penya (aah eeh mi napekenya)
Kuchu kurukuchu (aah eeh)
Bugani kirungutu (aah eeh)
Njoo nikupe vurungutu (aah eeh)
Mi kwako zungukuku (aah eeh)

Kila mara akili yangu wewe tu
Umenifanya nimezama mwenzio
Kila mara akili yangu wewe tu
Umenifanya nimezama mwenzio

Beiby you know (bado)
The way that I do (bado)
The thing that you do (bado)
The way I love you (bado)
Oooh beiby you know (bado)
Nakufanya nikusahau (bado)
Nataka mi nikushushe dau (bado)
Sipendagi madharau (bado)

Nusu kabusu
Umenipiga nusu kabusu
Nusu kabusu
Umenipiga nusu kabusu

Beiby you know (bado)
The way that I do (bado)
The thing that you do (bado)
The way I love you (bado)
Oooh beiby you know (bado)
Nakufanya nikusahau (bado)
Nataka mi nikushushe dau (bado)
Sipendagi madharau (bado)

Nusu kabusu
Umenipiga nusu kabusu
Nusu kabusu
Umenipiga nusu kabusu

BADO lyrics ♪ tiktok clean Letra de la canción BADO ♪ Versuri BADO

Vezi si alte versuri de la Vanessa Mdee:

Versuri Vanessa Mdee – Moyo

Versuri Vanessa Mdee – The Way You Are

Versuri Vanessa Mdee – Bambino feat Reekado Banks

Versuri Vanessa Mdee – Pumzi Ya Mwisho ft. Joh Makini And Casper Nyovest

Versuri Vanessa Mdee – Unfollow