Versuri > Vanessa Mdee

Versuri Vanessa Mdee, Jux – Juu lyrics

Juu versuri Vanessa Mdee

Vanessa Mdee:
Kuna muda mi nashindwaa aah,
kufanya vitu vingi kwako natamani kutimiza (mmh)
Ila moyo
unajua jinsi gani navyotaka kwenda sawa na wewe
Ila moyo
unajua jinsi gani navyotaka kwenda sawa na wewe

Na usione kama navunja yako heshima
I’ve been thinking about you all day
Na usione na dharau sababu ya jina
I’ve been thinking about you only baby

Aaah nikipata umepata, mama tunakwenda juu
Aaah nikipata umepata, baby tunakwenda juu
Aaah nikipata umepata, mama tunakwenda juu
Aaah nikipata umepata, baby tunakwenda juu

Jux:
Upendo wetu ndio muhimu, kuwa pamoja mimi na weeh
Usije nipa wazimu, kisa nakupenda weeh
Ila jua nafsi yangu (unayo wewe)
Na kila kitu changu (ni chako wewe)
Naah umia naumia Vanessa Mdee, ukienda nitaumia
Na usione kama navunja yako heshima (yeah)
Na usione na dharau sababu ya jina (yeah)

Aaah nikipata umepata, mama tunakwenda juu
Aaah nikipata umepata, baby tunakwenda juu
Aaah nikipata umepata, mama tunakwenda juu
Aaah nikipata umepata, baby tunakwenda juu

Vanessa Mdee:
Aaah mama mia
Nakupenda Juma weeh
Ukiniacha nitalia (yeah)

Jux:
Sambaza me and you you, everything we do do
You my baby boo boo, is just me and you you
Forever me and you you, everything we do do
You my baby boo boo, is just me and you you

Vanessa Mdee:
I’m thinking about you you, everything you do do
Only about you you, ooh my baby you you
I’m thinking about you you, ooh my baby boo boo
Only about you you you you

Vanessa Mdee, Jux:
Nikipata umepata, mama tunakwenda juu baby
Yeah yeah yeah yeah (usibadilikee)
Yeah yeah yeah yeah (usibadilikee)
Yeah yeah yeah yeah (usibadilikee)
Yeah yeah yeah yeah (usibadilikee)
Yooooooooooooooooooooooooou
Yeah yeah yeah yeah (usibadilikee)

Juu lyrics ♪ tiktok clean Letra de la canción Juu ♪ Versuri Juu

Vezi si alte versuri de la Vanessa Mdee:

Versuri Vanessa Mdee Ft. Rayvanny – BADO

Versuri Vanessa Mdee – Moyo

Versuri Vanessa Mdee – The Way You Are

Versuri Vanessa Mdee – Bambino feat Reekado Banks

Versuri Vanessa Mdee – Pumzi Ya Mwisho ft. Joh Makini And Casper Nyovest